Google Drive Options - Swahili
If you don't have a login, please contact our Training Manager .
This is a sample video. To access the full content,
please
Login
19 visits
Outline:
Chaguzi zinazopatikana kwenye Google Drive kama vile: Kuunda hati (document), lahajedwali (spreadsheet), na wasilisho (presentation). Kupakia faili na folda. Na chaguzi za kushiriki kama vile: Anaweza Kutazama (Can View). Anaweza Kutoa Maoni (Can Comment). Anaweza Kuhariri (Can Edit).